• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya yavutia wawekezaji wa Qatar katika sekta ya utengenezaji

    (GMT+08:00) 2020-01-31 09:53:58

    Kenya imetoa wito kwa wawekezaji wa Qatar kutoa mchango kwenye sekta ya utengenezaji ya nchi hiyo.

    Maneja mkuu wa mamlaka ya uwekezaji wa Kenya Bw. Pius Rotich amesema kwenye kongamano la biashara mjini Nairobi kuwa, Kenya imetoa kipaumbele katika kuendeleza sekta ya viwanda ambayo itasaidia katika maendeleo ya uchumi.

    Bw. Rotich amesema Kenya imetoa sera kadhaa na hatua za kupunguza kodi ili kuvutia zaidi wawekezaji kutoka Qatar kujenga viwanda nchini humo, na kutengeneza bidhaa kwa ajili ya masoko ya ndani na ya nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako