• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda yatafakari kuanzisha Benki ya uwekezaji ili kukabiliana na pengo la kifedha

    (GMT+08:00) 2020-01-31 17:43:45

    Rwanda inafikiria kuanzisha benki ya kijani ya uwekezaji kwa lengo la kuondoa pengo la kifedha ili kuiwezesha nchi hiyo kutimiza mkataba wa hali ya hewa na kupunguza athari zake.

    Waziri wa Mazingira nchini humo Jeanne Mujawamariya amesema, Rwanda ina ajenda kubwa ya kivitendo kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa, na kuwa na benki ya kijani ya uwekezaji hakika kutaondoa pengo la kifedha katika soko la nchi hiyo.

    Waziri huyo amesema, benki hiyo itakusanya ufadhili wa sekta binafsi na kuimarisha mahitaji ya fedha za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa nchini Rwanda kwa kuiwezesha nchi hiyo kupata kwa urahisi mikopo ya fedha ya kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako