• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bei ya nyumba yashuka viungani mwa Nairobi

    (GMT+08:00) 2020-01-31 19:41:49

    Bei ya nyumba na ukondishaji zimepungua katika maneo ya nje ya mji wa Nairobi nchini Kenya mwaka 2019.

    Repoti ya kampuni ya ujenzi wa nyumba ya HassConsult inasema ada za upangishaji zilipungua kwa kati ya asilimia 2.1 na 2.3 .

    Imesema ripoti hiyo kuwa wenye nyumba wameendelea kupunguza mahitaji yao hasa kwenye maeneo ambako kuna nyumba nyingi.

    Pia ripoti hiyo imeonesha kuwa bei ya ardhi katika maneo kama vile kitengela imeongezeka kwa asilimia 10.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako