• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mafuriko yasababisha vifo vya watu 13 na wengine laki 1.5 kupoteza makazi kusini mwa Tanzania

    (GMT+08:00) 2020-02-01 19:26:50

    Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Bw. Christopher Ngubiagai amesema, watu zaidi ya 13 wamefariki na wengine 15,096 wamepoteza makazi yako kutokana na mafuriko yaliyosomba vijiji 16 katika wilaya ya Kilwa, Mkoani Lindi, kusini mwa Tanzania.

    Bw. Ngubiagai amesema, mvua kubwa inayoendelea kunyesha pia imeharibu maelfu ya ekari za mashamba na kuua mifugo.

    Ameongeza kuwa mamlaka ya wilaya hiyo imetenga vituo vinne vinavyoweza kuwahifadhi watu elfu 8 waliopoteza makazi. Wengine 7,096 wanakaa kwenye nyumba za jamaa na marafiki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako