• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hospitali mpya ya Huoshenshan yaanza kuwatibu wagonjwa wa korona

    (GMT+08:00) 2020-02-03 18:01:13

    Hospitali ya kitaaluma ya ugonjwa wa korona ya Hoshenshan, mjini Wuhan leo imeanza kuwatibu wagonjwa waliothibitishwa kuambukizwa virusi vipya vya korona.

    Madaktari na wauguzi 1,400 kutoka jeshi la China wanachukua jukumu katika hospitali hiyo ambayo ujenzi wake uliokamilika kwa siku 10. Pamoja ya hospitali hiyo yenye vitanda 1,000, hospitali nyingine mpya ya aina yake yenye vitanda 1,600 inatarajiwa kukamilika hivi karibuni, ambayo inapewa jina la Leishenshan, itaanza kuwapokea wagonjwa wa korona Jumatano wiki hii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako