• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ofisa wa China asema athari ya maambukizi ya virusi vya korona kwa uchumi wa China itakuwa ya muda mfupi

    (GMT+08:00) 2020-02-03 18:09:46

    Naibu mkurugenzi wa kamati ya maendeleo na mageuzi ya China Bw. Lian Weiliang leo hapa Beijing amesema, maambukizi ya virusi vya korona yataleta athari ya muda tu kwa uchumi wa China, na mwelekeo wa ongezeko la uchumi wa China katika muda mrefu hautabadilika.

    Ofisa huyo amesema, China ina imani na pia ina uwezo wa kupunguza athari hiyo hadi kiwango cha chini kabisa.

    Aliongeza kuwa ingawa sekta kadhaa zikiwemo uchukuzi na utalii zimeathiriwa vibaya na maambukizi ya virusi vya korona, lakini sekta zinazoibuka kama vile ununuzi mtandaoni, chakula na burudani, zinakua kwa kasi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako