• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maporomoko ya udongo yasababisha vifo vya watu 13 nchini Rwanda

    (GMT+08:00) 2020-02-04 09:04:20

    Wizara ya usimamizi wa mambo ya dharura ya Rwanda imesema, maporomoko ya udongo yaliyotokana na mvua kubwa yamesababisha vifo vya watu 13 na wengine 13 kujeruhiwa katika sehemu tofauti nchini humo, huku ikionya kuwa idadi ya vifo inaweza kuongezeka. Wengi wa waliofariki wako sehemu za Kicukiro, Gasabo, Nyarugenge mjini Kigali,.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako