• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idara ya Umoja wa Mataifa yahimiza nchi za Afrika kufuata mikakati ya ukuaji wa uchumi usiochafua mazingira

    (GMT+08:00) 2020-02-04 09:04:39

    Kamati ya uchumi wa Afrika ya Umoja wa Mataifa UN-ECA imetoa wito nchi za Afrika kutunga mikakati ya maendeleo inayosisitiza na kuhimiza maendeleo endelevu ya uchumi wa bahari, ukuaji usiosababisha uchafuzi wa mazingira. Kamati hiyo imetoa taarifa ikisema teknolojia za kidigitali zinatusukuma kuingia katika mapinduzi ya nne ya kiviwanda, huku ikisisitiza kuwa utoaji wa hewa ya ukaa unabadilisha hali ya hewa, na kuleta mabadiliko yasiyo ya kawaida kwa hali ya hewa duniani ikiwemo ongezeko la joto na ongezeko la hatari za mafuriko, ukame na mabadiliko ya kilimo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako