• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda yaadhimisha siku ya kimataifa ya saratani na kuzindua kituo cha saratani

    (GMT+08:00) 2020-02-05 10:11:00

    Wizara ya afya ya Rwanda imesema nchi hiyo imejiunga na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya kimataifa ya saratani, kwa kuzindua rasmi kituo cha tiba ya mionzi ya saratani ambacho kitatoa tiba maalumu kwa saratani. Waziri wa afya wa nchi hiyo Bibi Diane Gashumba, amesema kituo cha tiba ya mionzi ya saratani kinakuja kama msaada kwa wagonjwa wa saratani, wakati kwa sasa Rwanda ina uwezo wa kutoa matibabu kwa wagonjwa 150 kwa siku kupitia matumizi ya mashine mbili za tiba ya mionzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako