• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mahakama ya Afrika Kusini yatoa hati ya kukamatwa kwa rais wa zamani Jacob Zuma

    (GMT+08:00) 2020-02-05 10:11:30

    Jaji wa kamati kuu ya Pietermartzburg Bw. Dhaya Pillay ametoa hati ya kukamatwa kwa rais wa zamani wa Afrika Kusini Bw. Jacob Zuma ili kumlazimisha awepo mahakamani. Hati hiyo imetolewa baada ya Bw. Zuma kushindwa kutokea mahakama anakotakiwa kujibu mashtaka ya ufisadi kuhusiana na manunuzi ya silaha mwaka 1999. Timu ya mawakili ya Bw. Zuma imesema kutokuwepo kwake kunatokana na ugonjwa, na alitoa taarifa ya ugonjwa kutoka kwa daktari wa jeshi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako