• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakuu wa UM na WHO kuhudhuria mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika

    (GMT+08:00) 2020-02-05 10:11:49

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres na mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Bw. Tedros Ghebreyesus watahudhuria kikao cha 33 cha kawaida cha mkutano wa viongozi wa nchi na serikali za Umoja wa Afrika. Viongozi hao wawili watakuwa kati ya maofisa wa ngazi ya juu ambao watahudhuria mkutano huo utakaofanyika kuanzia Januari 21 hadi Februari 10 kwenye makao makuu huko Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako