• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanaharakati wa Kenya wahimiza hatua za kivumbuzi zichukuliwe kutokomeza ukeketaji

    (GMT+08:00) 2020-02-10 09:33:54

    Wanaharakati wa haki za kijinsia nchini Kenya wameihimiza serikali kuridhia mikakati ya kivumbuzi ili kusaidia kutokomeza ukeketaji.

    Wanaharakati hao wamelaani vitendo vya kuwapeleka wasichana katika nchi jirani kwa ajili ya kufanyiwa ukeketaji, wakati baadhi ya wazazi wanataka watoto wao wakeketwe mara baada ya kuzaliwa na wataalamu wa matibabu wanahusika na vitendo hivyo.

    Ofisa wa kutetea haki katika Kituo cha Elimu na Mwamko kuhusu Haki Bibi Isabella Mwangi, amesema mwamko wa kukumbusha umma kuhusu madhara ya ukeketaji na adhabu za kisheria dhidi ya watu waliojihusisha na vitendo hivyo, ni muhimu katika kuwazuia watu wasijiingize kwenye vitendo hivyo hatarishi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako