• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa Algeria akanusha serikali ya Libya kuchukizwa na mkutano na Haftar

    (GMT+08:00) 2020-02-12 09:58:16

    Waziri wa mambo ya nje wa Algeria Bw. Sabri Boukadoum amekanusha kuwa serikali ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa haijaridhishwa na mkutano kati yake na jenerali Khalifa Haftar ambaye ni kamanda wa jeshi la taifa la Libya. Bw. Boukadoum amesema hayo kwenye taarifa iliyotolewa kwa wanahabari katika kikao cha bunge la Algeria. Amesisitiza kuwa msimamo wa Algeria uko wazi kwa ndugu wa Libya, iwe ni wa Tripoli au Bengazi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako