• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mourinho asema hafai kulaumiwa kwa matatizo Spurs

  (GMT+08:00) 2020-02-12 18:22:27

  Kocha Jose Mourinho amesema hafai kulaumiwa kwa matatizo yanayokumba klabu ya Tottenham Hotspur, na kudai kuwa amelazimika kutumia wachezaji katika nafasi ambazo si zao. Kutokuwepo kwa nahodha Harry Kane kumemwacha kocha huyo bila mshambulizi wa kutegemea. Son Heung-min na Lucas Moura si washambuliaji wa katikati, lakini inabidi aacheze katika nafasi hiyo. Mourinho amedai kwamba baadhi ya wachezaji hawajaanza kuelewa majukumu yao kikamilifu katika kikosi hicho.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako