• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Waziri Mwakyembe awaasa Watanzania kutmharibia Samatta kwenye klabu yake ya Aston Villa

    (GMT+08:00) 2020-02-17 10:41:42

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe amesema Watanzania hawana budi kuonesha mapenzi yaliyopitiliza kwa Mtanzania Mbwana Samatta ambaye kwa sasa anakipiga ndani ya Aston Villa ila wasimuharibie kwenye Klabu yake mpya na mazoea na wachezaji wenzake. Waziri Mwakyembe amewaasa Watanzania kuacha kuandika maoni yao yasiyokuwa na tija kwa hatma ya Mbwana Samatta.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako