• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • LANGALANGA: Kikankane ashinda mbio za magari za Mbarara kwa njia ya kushangaza

    (GMT+08:00) 2020-02-17 16:39:44

    Duncan Kikankane Mubiru na Musa Nsubuga wameshinda mbio za magari za Rukaani – Lake Mburo Mbarara Rally 2020 kwa njia ya kushangaza jana mchana. Timu hiyo iliingia kwenye mzunguko wa mwisho wa mashindano hayo ikiwa nyuma ya Ponsiano Lwakataka kwa zaid ya dakika tatu, lakini kwa njia ya ajabu, gari la Lwakataka aina ya Subaru N12B lilipata matatizo ya kiufundi, na hivyo kuipa timu hiyo nafasi ya kushinda mashindano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako