Makocha 18 wa mchezo mpya wa Teqball nchini Tanzania wamepewa semina ya sheria na kanuni za mchezo huo, huku wakichuana wenyewe kwa wenyewe. Semina hiyo uya siku mbili imemalizika jana kwenye viwanja vya Filbert Bayi, Kibaha Mkuza mkoa wa Pwani. Makocha ho walijifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na sheria za Teqball, ambao ni mchezo wa soka ya mezani inayochezwa kuwa kutumia kichwa na miguu pekee.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |