• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenyans bei ya juu ya nyanya ya lazimu wakenya kutafuta njia mbadala

    (GMT+08:00) 2020-02-17 19:21:58

    Bei ya nyanya imepanda nchini ikiacha ikiwalazimu Wakenya wengi kutafuta njia mbadala.

    Wengi wamegeuka kwenye mitandao ya kijamii kuelezea kufadhaika kwao huku wakilalamika bei ya juu ya nyanya wanayokumbana nayo katika soko.

    Wachuuzi katika masoko ya hapa sasa huuza nyanya moja kwa bei ya juu kama Sh20 au Sh15 kulingana na eneo ambapo nyanya hiyo imetoka kutoka.

    Bei kubwa ya nyanya imelaumiwa kwa usambazaji mdogo katika soko ambayo ilisababishwa na mvua nzito za hivi karibuni iliyoshuhudiwa kote nchini ambayo sio mazingira mazuri ya ukuaji wa nyanya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako