• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Lusajo amwachia kiatu Kagere

    (GMT+08:00) 2020-02-18 17:20:50

    Mshambuliaji wa timu ya Namungo FC, Leriant Lusajo amesema licha ya kasi aliyonayo katika ufungaji wa mabao, lakini siyo kipaumbele chake kuwania tuzo ya mfungaji bora inayotetewa na Meddie Kagere wa timu ya Simba. Lusajo ameonekana kuwa mkali katika kucheka na nyavu baada ya kufunga mabao tisa na kumpa presha Kagere wa Simba ambaye ana mabao 12. Lusajo ameiwezesha timu yake hiyo kutoka Lindi kuwa katika nafasi ya nne ikiwa na alama 36 baada ya kucheza mechi 24.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako