• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wairan milioni 58 wana haki ya kupiga kura kwenye uchaguzi wa bunge

    (GMT+08:00) 2020-02-20 09:23:12

    Mkuu wa makao makuu ya uchaguzi ya Iran Jamal Orf amesema, watu karibu milioni 58 wa Iran wana haki ya kupiga kura katika uchaguzi wa bunge utakaofanyika Ijumaa hii, milioni 28.8 kati yao wakiwa ni wanawake. Pia amesema watu milioni 2.9 wanapiga kura kwa mara ya kwanza. Kuanzia mwezi Januari mwaka 2007 watu wenye umri wa miaka 18 na zaidi wana haki ya kupiga kura nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako