• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yarusha satelaiti nne za majaribio ya teknolojia

    (GMT+08:00) 2020-02-20 09:23:38

    China imerusha roketi ya Long March-2D iliyobeba satelaiti nne mpya za majaribio ya teknolojia kutoka kituo cha kurushia satelaiti cha Xichang, mkoani Sichuan, kusini magharibi mwa China. Satelaiti hizo zitatumika kwa majaribio mapya ya teknolojia ya uchunguzi wa sayari ya Dunia. Urushaji huo ulikuwa ni wa mara ya 326 kwa kutumia roketi ya Long March.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako