• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Radisson Blu yapata ukuaji wa asilimia 18

    (GMT+08:00) 2020-02-21 18:57:40

    Hoteli ya Radisson Blu nchini Rwanda katika mji mku Kigali imepata ukuaji wa asilimia 18 kati ya mwaka 2017 hadi 2019.

    Meneja wa Radisson Blu Denis Dernault, amesema ukuaji huo umeongeza shughuli zake za uuzaji na pia uwezo wa kuendesha biashara kwa njia endelevu na kuinua imani ya biashara siku za baadaye.

    Licha ya ongezeko ya hoteli na kumbi za mikutano zinazoingia katika soko la ndani kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita, Radisson Blu ilioko kwenye jumba la Mikutano la Kigali imekuwa na zaidi ya mikutano 1,100 tangu Julai 2016.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako