• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Benki Kuu ya Uganda yadumisha kiwango cha sera yake kuwa asilimia tisa

    (GMT+08:00) 2020-02-21 18:58:57

    Benki Kuu ya Uganda imedumisha kiwango cha sera yake kwa asilimia tisa katika mkutano wake wa kwanza wa Kamati ya Sera ya Fedha ya 2020.

    Hii inaonyesha fursa za ukuaji wa mikopo na kiwango cha ubadilishanaji lakini kuna upunguvu wa kuwa kichocheo cha uchumi.

    Mkurugenzi mtendaji wa utafiti kwenye benki hiyo Dk. Adam Mugume amesema kiwango cha sera kilikuwa karibu asilimia 13 mwishoni mwa mwaka wa 2018 lakini kimeshuka hadi asilimia tisa.

    Hata hivyo amesema mifumo ya upitishaji wa sera za fedha huchukua muda mrefu kuingia katika mfumo wa uchumi wakati benki zikijiandaa kwa mabadiliko katika viwango vya sera na masharti ya pamoja .

    Hatua za sera nafuu zinazofuatwa na benki kuu ya Uganda tangu 2018 zimesaidia kupungua kwa kiwango cha riba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako