• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi aongoza mkutano wa uongozi kuhusu kudhibiti maambukizi ya COVID-19 na maendeleo ya uchumi

    (GMT+08:00) 2020-02-21 20:59:24

    Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC imefanya mkutano kuhusu kuzuia na kudhibiti ugonjwa wa virusi vipya vya korona COVID-19 na uratibu kati ya udhibiti wa maambukizi na maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

    Rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya CPC ameongoza mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako