• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ndege kubwa ya abiria ya China C919 kufanyiwa majaribio

    (GMT+08:00) 2020-02-24 09:10:37

    Ndege kubwa ya abiria iliyotengenezwa na China aina ya C919 jana Jumapili ilitua kwenye uwanja wa ndege wa Shengli mjini Dongying, mkoani Shandong, kwenye majaribio ya kuruka. Wakati huohuo, ndege nyingine ndogo ya abiria iliyotengenezwa na China ARJ21 pia inafanyiwa majaribio kwenye viwanja vya ndege mjini Shanghai.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako