• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tiba dawa za asili za China yapendekezwa kuwasaidia wagonjwa waliopona COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-02-24 19:53:03

    Mamlaka ya afya nchini China imetoa mwongozo wa majaribio ya matumizi ya tiba ya asili ya kichina (TCM) kwa watu waliopona ugonjwa wa nimonia unaosababishwa na virusi vya korona (COVID-19).

    Mwongozo huo ulioandaliwa na jopo la wataalam chini ya mfumo wa pamoja wa Baraza la Serikali la China kudhibiti mlipuko huo, utatumika kwa watu waliopona ambao wana vigezo vya kutolewa kwenye maeneo waliyokuwa wametengwa ama kuruhusiwa kutoka hospitali baada ya kupona.

    Mwongozo huo unajumuisha dalili zinazojitokeza katika kipindi cha uponaji na kupendekeza dawa za asili za kichina na matibabu yake. Pia inajumuisha tiba vitobo (acupuncture), na mazoezi ya asili kama Tai Chi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako