• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NDONDI: Nakalema ashinda ndondi za wanawake mjini Dakar

    (GMT+08:00) 2020-02-25 16:51:04

    Emily Nakalema amekuwa mwanamke wa kwanza wa Uganda kushinda ngumi katika mchujo wa Fainali za Afrika zinazoendelea mjini Dakar, Senegal. Nakalema amepata ushindi huo kwa kumpiga Ivanusa Gomes Moreira, ambaye ni bingwa namba tatu wa Afrika katika uzito wa welterweight. Kwa sasa Nakalema amefikia ngazi ya nusu fainali, ikiwa ni nafasi ya juu zaidi kufikiwa na Mganda yoyote katika kuwania tiketi ya kushiriki mashindano ya Olimpiki ya Tokyo yatakayofanyika baadaye mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako