• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Thamani ya mikataba ya kiteknolojia ya China yapita dola za kimarekani bilioni 318 kwa mwaka 2019

    (GMT+08:00) 2020-02-25 19:39:19

    Soko la teknolojia la China limeshuhudia mikataba zaidi ya 484,000 mwaka jana, ikiwa na thamani ya jumla ya dola za kimarekani bilioni 318.

    Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Sayansi na Teknolojia ya China zimeonyesha kuwa, kiasi hicho kinawakilisha ongezeko la asilimia 17.5 na 26.6 ikilinganishwa na mwaka 2018 kipindi kama hicho, Pia kimeonyesha kiwango cha juu zaidi cha thamani ya biashara ya soko la teknolojia kwa China, ikipita dola za kimarekani bilioni 172.

    Kati ya teknolojia zote, teknolojia ya nishati mpya na ya kiwngo cha juu imeongezeka kwa kiasi kikubwa na kufikia asilimia 82.7 ya thamani ya mkataba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako