• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China asisitiza maendeleo ya kilimo katika kudhibiti mlipuko na ukuaji wa uchumi na jamii

    (GMT+08:00) 2020-02-25 20:16:02

    Rais Xi Jinping wa China amesisitiza haja ya kutoa kipaumbele kwenye masuala ya kilimo, maeneo ya vijijini na wakulima, pia kuboresha maeneo dhaifu ili kuunga mkono kwa nguvu zaidi kushinda vita ya kuzuia na kudhibiti mlipuko wa virusi vya korona, na pia kutimiza malengo yaliyowekwa kwa maendleo ya uchumi na jamii kwa mwaka huu.

    Rais Xi amesema hayo katika maelekezo aliyotoa hivi karibuni kuhusu kilimo cha msimu wa mchipuko nchini China. Pia amesema jinsi taifa linavyokabiliwa na hatari na changamoto, ndivyo haja inaongezeka ya kutuliza kilimo na kuhakikisha usalama wa nafaka na vyakula vyote muhimu visivyo vya nafaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako