• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shirika la ndege la China Southern Airlines laendelea na safari kutoka Changsha kwenda Nairobi

    (GMT+08:00) 2020-02-26 09:05:32

    Shirika la ndege la China Southern Airlines limeamua kuendelea na safari za ndege za moja kwa wiki kutoka Guangzhou hadi Changsha kwenda Nairobi kuanzia jana Jumanne, likiwa ni shirika pekee la ndege la China kwa sasa ambalo linaendelea na safari za moja kwa moja kwenda Kenya katika kipindi cha mlipuko wa virusi vya korona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako