• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya Absa Kenya imeweka mfuko wa mkopo wa Sh billion 10 kwa biashara ndogo ndogo zinazoongozwa na wanawake

    (GMT+08:00) 2020-02-26 19:18:45

    ndBenki ya Absa Kenya imeweka mfuko wa mkopo wa Sh billion 10 kwa biashara ndogo ndogo zinazoongozwa na wanawake (SME) huku kukiwa na ushindani wa kibenki na kuomba msaada kwa serikali kwa sekta hiyo.

    Wateja watapata mikopo ya hadi Sh milioni 3 ndani ya masaa 48, kuwezeshwa kupitia kituo kipya kinachoitwa Wezesha Express.

    Mikopo hiyo itatekelezwa kwa kiwango cha riba cha asilimia 13 na kulipwa ndani ya miaka mitatu.

    Mfuko wa fedha utumika mwanamke yeyote ambaye ana mpango mzuri wa biashara na tayari anafanya biashara katika sekta zote.

    Benki hiyo inalenga wanawake zaidi ya 10,000 ifikapo 2021.

    Absa pia atawafundisha wanawake wa kishirikiana na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Marekani USIU.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako