• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jamii ya kimataifa yaiunga mkono katika China kupambana na COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-02-26 19:22:36

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Zhao Lijian amesema, hadi sasa viongozi wa nchi zaidi ya 170 na mashirika zaidi ya 40 ya kimataifa wameipa pole China kutokana na mlipuko wa nimonia inayosababishwa na virusi vya korona (COVID-19), na China itaendelea na juhudi za kukabiliana na maambukizi hayo na kubadilishana uzoefu na nchi husika.

    Aidha, Zhao amesema China itaongeza ushirikiano wa kikanda na kimataifa, kuimarisha uratibu na mawasiliano na Shirika la Afya Duniani, na kutoa misaada kwa nchi zilizopata maambukizi ya COVID-19.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako