• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viongozi wa China wachangia fedha katika juhudi za kukabiliana na COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-02-26 19:35:30

    Rais Xi Jinping wa China ameongoza mkutano wa Kamati ya kudumu ya ofisi ya siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), ili kusikiliza ripoti ya kikundi cha uongozi wa kukabiliana na ugonjwa wa nimonia unaosababishwa na virusi vipya vya korona (COVID-19) kuhusu hali ya maambukizi ya virusi.

    Aidha, viongozi wa China akiwemo rais Xi wamechanga fedha kwa ajili ya juhudi za kukabiliana na maambukizi hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako