• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Japan waipiga tafu Tanzania Olimpiki, judo warejeshwa upya

    (GMT+08:00) 2020-02-27 18:06:34

    Ubalozi wa Japan nchini Tanzania umetoa nafasi nyingine kwa timu ya Judo kutafuta tiketi ya kushiriki michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020. Awali, timu ya Judo ilijiondoa katika harakati hizo baada ya kukosa tiketi ya kushiriki mashindano ya dunia yaliyofanyika mwishoni mwa mwaka jana nchini Japan. Balozi wa Japan nchini Tanzania Shinichi Goto amesema, nchi yake itaendelea kuisaidia Tanzania baada ya kufuzu, na kwamba wangependa kuona Watanzania wenfi wanafikia viwango vya juu katika mchezo huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako