• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakazi wote mkoani Tibet wameondolewa kwenye umasikini unaohusiana na magonjwa

    (GMT+08:00) 2020-02-28 18:39:37

    Wakazi wote elfu 63 walioandikishwa kama masikini kutokana na magonjwa katika mkoa unaojiendesha wa Tibet ulioko kusini magharibi mwa China wameondokana na umasikini.

    Mamlaka za afya katika mkoa huo zimesema, kuanzia mwaka 2016 hadi mwaka 2019, serikali ya mkoa huo ilitambulisha hatua za uhakika na maalum za kuondoa umasikini ili kuwaponya wakazi waliokuwa kwenye umasikini mkubwa kiafya na kifedha.

    Wakulima na wafugaji katika kaunti na wilaya 74 mkoani humo wamefurahia sera ya malipo baada ya kupata matibabu, na wananchi maskini wote wamepata huduma ya bima ya matibabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako