• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Koulibaly kutua Manchester United bado kiza kinene

    (GMT+08:00) 2020-02-28 18:41:40

    Manchester United huenda ikashindwa nia yake ya kumsajili beki wa kati, Kalidou Koulibaly baada ya raia huyo wa Senegal kununua jumba mjini Paris, Ufaransa. Beki huyo wa Napoli kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa na mpango wa kuhamia Old Trafford, lakini hatua hiyo ya kununua jumba nchini Ufaransa kwa sasa inahisiwa kuwa ni maandalizi ya beki huyo kuhamia timu ya PSG. Koulibaly ameichezea timu ya Napoli kwa miaka saba sasa baada ya kunaswa kutokea Genk mwaka 2014.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako