• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China atoa wito wa uvumbuzi wa kisayansi katika kupambana na COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-02-28 21:30:37

    Waziri mkuu wa China Li Keqiang ametoa wito kwa watafiti kufanya bidii ili kupata uvumbuzi katika kuendeleza kipimo cha kutambua virusi, dawa na chanjo dhidi ya virusi vipya vya korona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19.

    Li Keqiang ambaye ni kiongozi wa kikundi cha uongozi cha Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China kinachohusika na kukabiliana na mlipuko wa virusi vya korona, amesema hayo leo wakati wa ziara ya ukaguzi katika tume ya kitaifa ya kuratibu dawa na vifaa za kukabliana na COVID-19.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako