• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bunge la Iraq laahirisha kikao kupiga kura kuhusu baraza jipya la mawaziri

    (GMT+08:00) 2020-03-02 10:12:28

    Bunge la Iraq limeahirisha kikao kupiga kura kuhusu baraza la mawaziri lililopendekezwa na waziri mkuu mteule Bw. Mohammed Tawfiq Allawi kutokana na ukosefu wa idadi ya kutosha ya wabunge uliotokana na migongano ya kisiasa. Kituo cha televisheni cha taifa cha Iraq Iraqiya kimesema, bunge hilo limeamua kuahirisha kikao cha kutoa uaminifu kwa serikali ya Allawi hadi jumatatu ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako