• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uturuki yaanza operesheni za kijeshi dhidi ya jeshi la serikali ya Syria

    (GMT+08:00) 2020-03-02 10:23:22

    Jeshi la Uturuki limeanza operesheni za kijeshi za "ngao ya spring" dhidi ya jeshi la serikali ya Syria mkoani Idilib, Syria, ili kulipiza kisasi dhidi ya shambulizi lililosababisha vifo na majeruhi kwa askari wengi wa Uturuki. Kwa mujibu wa wizara ya ulinzi wa taifa ya Uturuki, operesheni hizo zinalenga kujilinda na kuangamiza jeshi la serikali ya Syria mkoani humo. Hadi sasa, operesheni hizo zimewaua wanajeshi 1,212 wa jeshi la serikali ya Syria, na kuharibu ndege moja isiyo na rubani, helikopta 8 na vifaru 103.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako