• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: TBL yashinda tuzo ya kimataifa

    (GMT+08:00) 2020-03-02 18:42:28

    Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL) ilipata Tuzo ya Kimataifa ya Kizibo cha Dhahabu (IGCA) inayomaanisha ubora wa Kimataifa kutokana na uzalishaji wa bidhaa zake bora. Tuzo hiyo iliyotuzwa TBL mwishoni mwa wiki jana, ni ya kwanza kabisa kuwahi kutuzwa kwa kampuni ya bara la Afrika.

    Inakadiriwa kuwa kilo 16.01 za dhahabu ambayo kwa bei za kimataifa ni sawa na bilioni mbili za kitanzania.

    Meneja wa Brand za TBL Bi Pamela Kikuli, alisema kwamba TBL imefurahi kupata tuzo hiyo ambayo alisema kuwa imeongeza hesgima katika jina la kampuni na bidhaa zake, na kwamba wataendelea kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kukidhi mahitaji ya wateja wake nchini kote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako