• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan: Uhaba wa mafuta nchini Sudan

    (GMT+08:00) 2020-03-03 20:18:19

    Uhaba wa mafuta nchini Sudan umesababisha watu kutembea kwa miguu hadi sehemu kazi kutokana na ukosefu wa mafuta ya petroli.

    Uhaba wa mafuta ulianza siku tatu zilizopita lakini imeendelea kuwa inaendelea kuwa mbaya kadri siku zinavyopita.

    Mfanyikazi wa radio moja nchini humu amefafanua kuwa wafanyikazi wengi na wamiliki wa magari binafsi walipaswa kutembea kwenda kwenye maeneo yao ya kazi kwa sababu hakuna petroli na dizeli.

    Nchi humu bado watu wanalazimika kupanga foleni refu kwenye viwanda vya mikate huko Khartoum na miji mingine mingi ya Sudan, kutokana na Upungufu wa unga ulisababisha viwanda vingi vya mikate kufunga.

    Kituo kikuu cha Unga wa ngano kilitangaza kuwa uzalishaji wa unga wa ngano umepungua kwa asilimia 40.

    Hivi sasa bei ya mkate imeongezeka, mkate sasa unauzwa Pauni tano katika wilaya zingine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako