• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe wa China atoa mwito kuiunga mkono serikali ya Iraq kukabiliana na changamoto

    (GMT+08:00) 2020-03-04 09:37:04

    Mjumbe wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Balozi Zhang Jun amesema kuwa wakati hali ya Mashariki ya Kati ikizidi kuwa mbaya, ni muhimu kulinda mamlaka, uhuru na ukamilifu wa ardhi ya Iraq. Jumuiya ya kimataifa inapaswa kuheshimu nia za wananchi wa Iraq, kuunga mkono serikali ya Iraq kukabiliana na changamoto za ndani na nje, ili kutimiza ufufuaji wa uchumi, utulivu na amani, ujenzi mpya wa taifa na maafikiano ya kitaifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako