• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawaziri wa mambo ya nje wa Uturuki na Uingereza wajadili operesheni katika Idlib, Syria na wimbi la wakimbizi

    (GMT+08:00) 2020-03-04 09:37:22

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Uturuki na Uingereza wamejadili operesheni ya kijeshi ya Uturuki inayoendelea mkoani Idlib, Syria na wimbi la wakimbizi wanaoingia Ulaya. Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Bw. Dominic Raab ambaye yuko ziarani nchini Uturuki na mwezake wa Uturuki Bw. Mevlut Cavusoglu, wameihimiza Ugiriki na nchi nyingine za Umoja wa Ulaya kuheshimu sheria za kimataifa katika kuwashughulia wakimbizi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako