• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Palestina yasema iko tayari kushirikiana na serikali yoyote ya Israel kutimiza amani

    (GMT+08:00) 2020-03-04 09:38:16

    Shirika la habari la Palestina WAFA limesema utawala wa Palestina umeeleza kuwa uko tayari kushirikiana na serikali yoyote ya Israel inayotaka amani. Msemaji wa rais wa Palestina Bw. Nabil Abu Rudeineh ametoa taarifa ikisema, wako tayari kuzungumza na serikali yoyote ya Israel kutekeleza amani ya pande zote kwa mujibu wa maazimio ya Umoja wa Mataifa, ili kuanzisha Palestina huru yenye Jerusalem Mashariki kuwa mji mkuu wake kwenye mipaka iliyokubaliwa mwaka 1967.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako