• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Harambee Starlets yaipiga Northern Ireland mabao 2-0

    (GMT+08:00) 2020-03-05 18:17:54

    Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) Harambee Starlets ya Kenya walitangaza ushiriki wao katika mashindano ya kimataifa ya Turkish Women's Cup kwa kishindo baada ya kuilipua Northern Ireland Under-19 kwa mabao 2-0 mjini Alanya, Uturuki, Jumatano usiku. Warembo wa kocha David Ouma, ambao wamealikwa kushiriki mashindano hayo ya tatu kwa mara yao ya kwanza, wanashikilia nafasi ya pili katika Kundi B kwa tofauti ya ubora wa magoli na Chile walioifunga Black Queens kutoka Ghana 3-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako