• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Rais CAF kuwashuhudia Simba na Yanga taifa

    (GMT+08:00) 2020-03-05 18:18:49

    Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Ahmed Ahmed anatarajia kuwasili nchini Tanzania Jumamosi Machi 7 kwa mwaliko wa Rais wa TFF. Hii ni mara ya kwanza kwa Rais wa CAF kupata nafasi ya kutembelea Tanzania na kushuhudia mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayowahusisha watani wa jadi Yanga na Simba. Mchezo wa watani wa Jadi unasubiriwa kwa hamu kubwa na ni mechi inayotazamwa na mashabiki wengi na ya pili kwa ukubwa Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako