• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ripoti yaonesha kuwa VVU bado ni chanzo kikuu cha vifo vya wanawake wenye umri wa kuzaa

    (GMT+08:00) 2020-03-06 12:00:42

    Shirika la kupambana na UKIMWI la Umoja wa Mataifa limetoa ripoti ikisema, VVU bado ni chanzo kikuu cha vifo vya wanawake wenye umri kati ya miaka 15 hadi 49. Ripoti hiyo iliyotolewa kabla ya siku ya wanawake ya kimataifa imesema, karibu wasichana na wanawake elfu 6 hivi wenye umri wa miaka 15 hadi 24 wanaambukizwa virusi vya UKIMWI kila wiki. Ripoti hiyo imegundua kuwa wafanyakazi wa ngono, wanawake waliowekwa kizuizini na wanawake waliobadili jinsia wanakabiliwa na hatari kubwa ya kuambukizwa virusi vya UKIMWI, hasa katika eneo la Afrika kusini mwa Sahara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako