• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zambia: Shirika la ujenzi wa Reli ya China lasaini mkataba wa dola million 824 kukarabati reli

    (GMT+08:00) 2020-03-06 20:09:52
    Shirika la ujenzi wa Reli la China limesaini mkataba wa zaidi ya dola 824 milioni kupitia kampuni ndogo ya Shirika hilo ili kuboresha reli nchini Zambia.

    Shirika la ujenzi na Uhandisi la China litakarabati reli ya kusini mwa Zambia kwa muda wa miaka minane.

    Reli hiyo ina urefu wa jumla ya kilomita 648 na dhamani ya kandarasi ni dola milioni 824.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako