• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Wafanyabiashara wa asali watakiwa kuzingatia usafi na ubora wa vifunganisho

    (GMT+08:00) 2020-03-06 20:10:16
    Wafanyabiashara wa asali wametakiwa kuzingatia usafi na ubora wa vifunganisho ili kuimarisha ushindani wa bidhaa yao sokoni.

    Ofisa nyuki wa mkoa wa Mbeya Marietha Kareti amesema kila mara mofisa nyuki hulazimika kufanya msako kwenye mitaa kubaini wafanyabiashara ambao wamekuwa wakiuza bidhaa ya asali bila vifunganisho bora.

    Amesema vifunganisho bora vitsaidia sio tu soko kuimaeisha soko la ndani lakini pia na la kikanda.

    Kereti amesema vifunganisho visivyokidhi ubora vimekuwa vikipunguza mahitaji ya bidhaa hiyo kwani wateja wengi wanahofia mazingiraa ya asali katika soko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako