• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yailaani Marekani kuongeza vikwazo dhidi yake kwenye kipindi cha mlipuko wa virusi vya korona

    (GMT+08:00) 2020-03-09 10:23:17

    Waziri wa mambo ya nje wa Iran Bw. Mohammad Javad Zarif juzi kwenye ukurasa wake wa Twitter ameilaani Marekani kuongeza vikwazo dhidi ya Iran kwenye kipindi cha mlipuko wa virusi vya korona.

    Bw. Zarif amesema serikali ya Marekani imeongeza vikwazo dhidi ya Iran kwa lengo la kubana upatikanaji wa raslimali zinazohitajika kupambana na virusi vya korona. Amesema Marekani inaweka vikwazo vya kimatibabu dhidi ya Iran badala ya vikwazo vya kiuchumi. Katibu wa Kamati kuu ya usalama ya Iran Bw. Ali Shamkhani siku hiyo pia aliitaka Marekani iondoe vikwazo dhidi ya Iran.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako